Friday, September 9, 2011

WANAFUNZI WA MOJA YA SHULE ZA MSINGI NCHINI RWANDA

 Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi katika nchi ya Rwanda wakisoma kwa kutumia computer.Rais Kagame amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu nchini Rwanda.