Saturday, September 17, 2011

AJALI YA MV SPICE ISLANDER NI MSIBA WA KITAIFA

NATOA SALAMU ZANGU ZA POLE KWA WATANZANIA WENZANGU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWA KUFIKWA NA MSIBA MKUBWA HUU WA KUZAMA KWA MELI YA MV SPICE ISLANDER. TUMEPOTEZA MAISHA YA MAMIA YA WATU NA KUWAACHA WENGINE MAJERUHI. NAWAOMBEA MAJERUHI WOTE KWA MUNGU MWENYE REHEMA WAPONE  HARAKA, PIA MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI WALE WOTE WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI HIYO.(GEORGE MAGESSA, BLOG OVERSEER)

No comments:

Post a Comment